Mpya Lake Zone Camp Meeting Soma zaidi
God’s Standards

Kila mtu, kila mahali — aimarishwe katika kweli

Tunafundisha Neno la Mungu kwa utaratibu, tukihubiri Injili na kufanya wanafunzi katika mikoa yote ya Tanzania na zaidi.

Mtume Shemeji Melayeki
Mtume Shemeji MelayekiMwanzilishi na Msimamizi wa Huduma
Kuhusu Sisi

Kufundisha Neno la Mungu kwa utaratibu

Global Family Gatherings ni huduma iliyoanzishwa mwaka 2016 na Mtume Shemeji Melayeki. Tunafundisha Neno la Mungu kwa njia ya kimfumo ya kutafsiri Maandiko, tukihubiri Injili na kufanya wanafunzi — ili kila mtu, kila mahali afikiwe na kuimarishwa katika kweli.

2016Mwaka huduma ilipoanzishwa
30+Matawi ya makanisa
900+Mafundisho ya sauti
30+Vitabu vya mafundisho
Soma zaidi →
Mafundisho ya Sauti

Mafundisho mapya

Sikiliza mtandaoni au pakua usikilize popote.

Mifululizo mingine →
Mfululizo wa sasa Jengo la Mungu 2026 · 5 sehemu

Ona sehemu zote (5) →

Ona zote (5) →

Makusanyiko Maalum

Usikose Makusanyiko yajayo

Ona zote →

Ona zote →

Ratiba za Ibada

Ibada ya Jumapili

Kila Jumapili

09:00 – 13:30

Makao makuu ya ibada: Dar Social Hall, Sinza Lego – Barabara ya Shekilango, Dar es Salaam.

Habari

Habari na Matangazo

Matawi mapya, kambi, miradi na matangazo muhimu.

Habari zote →
Kambi na Mikutano 29 Novemba 2026

Lake Zone Camp Meeting

Karibu kwenye Kambi ya Kanda ya Ziwa (Lake Zone Camp) pamoja na Mtume Shemeji Melayeki. Mahali: Mwanza Kuingia: Alhamisi jioni, 26 Novemba 2026 Kutoka:…

Soma zaidi →
Vitabu

Soma, pakua au nunua vitabu

Ona zote →

Pata e-vitabu kwa WhatsApp

Lipia mtandaoni na upokee vitabu kwenye WhatsApp yako ndani ya sekunde.

Nunua e-vitabu
Mpya Wavuvi wa Watu

Wavuvi wa Watu

Tsh 15,000
Mpya Kuongozwa na Roho

Kuongozwa na Roho

Tsh 15,000
Mpya Kicheko na Furaha

Kicheko na Furaha

Tsh 15,000
Mpya Kuenenda kwa Roho

Kuenenda kwa Roho

Tsh 15,000
Jiunge na Kanisa

Karibu kwenye familia ya Mungu

Je, umekuwa ukifuatilia mafundisho ya Mtume Shemeji Melayeki na ungependa kukutana na wanafunzi wenzako wa kweli ya Kristo katika mkoa wako? Jaza fomu, nasi tutakupigia.

Jaza fomu ya kujiunga Jiunge na Telegram
Pakua