Lake Zone Camp Meeting
Karibu kwenye Kambi ya Kanda ya Ziwa (Lake Zone Camp) pamoja na Mtume Shemeji Melayeki. Mahali: Mwanza Kuingia: Alhamisi jioni, 26 Novemba 2026 Kutoka:…
Soma zaidi →
Global Family Gatherings ni huduma iliyoanzishwa mwaka 2016 na Mtume Shemeji Melayeki. Tunafundisha Neno la Mungu kwa njia ya kimfumo ya kutafsiri Maandiko, tukihubiri Injili na kufanya wanafunzi — ili kila mtu, kila mahali afikiwe na kuimarishwa katika kweli.
Sikiliza mtandaoni au pakua usikilize popote.
09:00 – 13:30
Makao makuu ya ibada: Dar Social Hall, Sinza Lego – Barabara ya Shekilango, Dar es Salaam.
Matawi mapya, kambi, miradi na matangazo muhimu.
Karibu kwenye Kambi ya Kanda ya Ziwa (Lake Zone Camp) pamoja na Mtume Shemeji Melayeki. Mahali: Mwanza Kuingia: Alhamisi jioni, 26 Novemba 2026 Kutoka:…
Soma zaidi →Kambi ya Kanda ya Kati na Mtume Shemeji Melayeki, Mzumbe Secondary – Morogoro. Kuingia Alhamisi jioni 19 Nov, kutoka Jumapili mchana 22 Nov 2026.
Soma zaidi →Wavuvi wa Watu, Kuongozwa na Roho, Kicheko na Furaha na Kuenenda kwa Roho sasa vinapatikana — Tsh 15,000 kila kimoja.
Soma zaidi →
Je, umekuwa ukifuatilia mafundisho ya Mtume Shemeji Melayeki na ungependa kukutana na wanafunzi wenzako wa kweli ya Kristo katika mkoa wako? Jaza fomu, nasi tutakupigia.
Lipa kwa usalama kwa simu au kadi ya benki kupitia ukurasa wa malipo. Baada ya kulipa tutawasiliana nawe kuhusu kupokea kitabu.
Endelea kulipa →