Kambi ya Kanda ya Kaskazini
Tarehe13 Nov – 15 Nov 2026
Muda07:00 – 16:00
MahaliMahali patatangazwa

Waamini wote wa Kanda ya Kaskazini mnakaribishwa kwenye kambi ya mafundisho, maombi na mtembeo wa Roho Mtakatifu. Maelezo kamili ya mahali na ratiba yatatangazwa hapa.