Kambi ya Kanda ya Kati
Tarehe19 Nov – 22 Nov 2026
MudaSiku nzima
MahaliMzumbe Secondary, Morogoro

Kambi ya Kanda ya Kati pamoja na Mtume Shemeji Melayeki.
- Kuingia: Alhamisi jioni, 19 Novemba 2026
- Kutoka: Jumapili mchana, 22 Novemba 2026
- Mahali: Mzumbe Secondary, Morogoro
- Mawasiliano: 0622 235 612 na 0757 599 304