Lake Zone Camp Meeting

Karibu kwenye Kambi ya Kanda ya Ziwa (Lake Zone Camp) pamoja na Mtume Shemeji Melayeki.
-
- Mahali: Mwanza
- Kuingia: Alhamisi jioni, 26 Novemba 2026
- Kutoka: Jumapili mchana, 30 Novemba 2026
Njoo upate muda wa kutosha wa maombi na kujifunza Neno la Mungu kwa utaratibu. Karibu sana!